Screen Shot 2017-07-06 at 13.55.49

BEN POL KUMBE MTOTO WA KANISANI (Video)

Ben Pol kiasili ni mkristo na kijana wa Kanisani kabisa….Akiongea na Jet TV amesema kua watu wengi hawajui kama kila show nazofanya huwa nasali kwanza. Ukiacha ilo Ben Pol amefunguka na kueleza namna gani kuna…