Dr Dorothy Shallua akieleza jinsi itakavyokua Kongamano La Wanawake CCC Upanga… (Video)

dr D

Dr. Dorothy Shallua Aeleza bayana na kuwakaribisha wanawake wote kutoka kila kona ya Tanzania katika Kongamano la Wanawake lililoandaliwa na WOMEN EMPOWERMENT GLOBAL litakalofanyika siku ya tarehe 29 Julai katika Ukumbi wa City Christian Center (CCC) Upanga kuanzia saa tatu kamili asubuhi. Pia Ataongozana na jopo la wanawake wenzake waliojaaliwa Mafundisho, maono na mahubiri mazuri kutoka nchi tofauti ambao ni Pastol Tina Ndobilu (USA), Lulu Masawe (USA) na Pastor Grace Kapswara (ZIMBABWE). Hii siyo ya kukosa maana kuna mengi na mazuri ya kuelimishana. (Video)

Comments

comments

Be the first to comment on "Dr Dorothy Shallua akieleza jinsi itakavyokua Kongamano La Wanawake CCC Upanga… (Video)"

Leave a comment

Your email address will not be published.


*